Natafuta Manager Wa Kazi Ya Muziki!!

Majigo

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
5,519
1,825
Habari Za Hapa Wandugu
Mdogo wangu Ni Msanii Mzuri Sana Wa Mziki wa kisasa(Bongo Fleva) Nimefanya Juhudi ya kumrekodia Nyimbo Mbili Na Video Moja kwa Producer na Director Mkubwa Hapa Nchini

Naomba kama Kuna Mtu anajishughurisha na masuala ya management Tuwasiliane kwa Namba Hii 07182 95 182 Hata whatsapp nipo!!

Jigo
 
Back
Top Bottom