Natafuta Makampuni ya Promotion

KIGILAGILA

Senior Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
164
Reaction score
38
Naomba nisaidieni natafuta makampuni ya kuchukua (wanakupa kwa mali kauli) vitu kwa promotion unauza alafu unapata kamisheni kiasi Fulani. Yawe ya vipodozi au vifaa vya umeme.

Please msaada tutani ili nipate pesa za kuongezea kipato.
 
Kwa sababu umegusa insu za business hata ya vipodozi nazani business ya forever living itakufaa sana ndugu yangu kwani ni network business mzuri kwa ajiri ya kuongeza kipato unanunua product then unauza na unapata return and higher benefit unaweza nicheki for more info 0717115421
 
Reactions: BIR

thanks but naendelea kukuomba uku jf hakuna ku meet na mtu (usiri) ndo maana nitashindwa kukupigia uwezi kunaambia tu wako wapi niende mwenyewe bila kuni identify.
 
Hizo ni perception zako mbona mm mshakutana na watu wengi toka jf unaweza kufika millenium tower jumapili 2nd floor utapata maelezo ya kina kuhusu hii business and its potential
 
Hizo ni perception zako mbona mm mshakutana na watu wengi toka jf unaweza kufika millenium tower jumapili 2nd floor utapata maelezo ya kina kuhusu hii business and its potential kuanzia saa nane
 
Hizo ni perception zako mbona mm mshakutana na watu wengi toka jf unaweza kufika millenium tower jumapili 2nd floor utapata maelezo ya kina kuhusu hii business and its potential kuanzia saa nane

nitafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…