Eneo la kazi n mkoa gan Mkuu?Hi guys! nahitaji vijana watatu wenye ujuzi wa kufanya service air condition.
Note: Naomba asiwe mtu wa kujifunza kazi, awe ameshawahi kufanya service walau A.C 50 kwenye historia ya ujuzi wake.
Malipo: 7000/= kwa A.C moja.
Mawasiliano: 0685654180
Mpigie huyu jamaa ndio issue zake anapatikana around Dar es salaam 0713230547natafuta fundi wa kufunga AC
Hi guys! nahitaji vijana watatu wenye ujuzi wa kufanya service air condition.
Note: Naomba asiwe mtu wa kujifunza kazi, awe ameshawahi kufanya service walau A.C 50 kwenye historia ya ujuzi wake.
Malipo: 7000/= kwa A.C moja.
Mawasiliano: 0685654180
Mpigie huyu jamaa ndio issue zake anapatikana around Dar es salaam 0713230547
sasa wewe jamaaa kwani Mna ugomvi?Ngoja Kwanza Vipele vya Joto vitutoke kwa wingi Miilini mwetu pamoja na kutubabua Ngozi ndipo tutakueleza alipo Fundi mzuri wa AC.
0713561424 ni fundi mzuri aliwah nifanyia kazinatafuta fundi wa kufunga AC