Mazengo Member Joined Feb 9, 2011 Posts 30 Reaction score 17 Jul 17, 2012 #1 Wakuu ninatafuta machine ya kukata nyama (Bones cutter machine) kwa ajili ya butcher langu. Ninaihitaji sana. Hivyo kama kuna mtu anauza au kama kuna mtu anajua zinapouzwa hada dar naomba anijulishe kwa kuni-PM. Thanks!
Wakuu ninatafuta machine ya kukata nyama (Bones cutter machine) kwa ajili ya butcher langu. Ninaihitaji sana. Hivyo kama kuna mtu anauza au kama kuna mtu anajua zinapouzwa hada dar naomba anijulishe kwa kuni-PM. Thanks!