Chriss yoyo
Member
- Jan 14, 2019
- 6
- 0
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, kuna project nataka nifanye ila sijui wap pa kupata microcontroller na gsm control
Naombeni msaada wenu
0687311340
Naombeni msaada wenu
0687311340
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, kuna project nataka nifanye ila sijui wap pa kupata microcontroller na gsm control
Naombeni msaada wenu
0687311340
Pia awe muangalifu na mataperi wa mitandaoni, mimi nimesoma cyber security ila ma-CE watakuja maana walisoma umeme na microcontroller semister zoteNunua online dogo!
Zipo kits zilizokamilia kabisa....
Wewe nenda Amazon au Ebay,omba mtu mwenye credit card akununulie then umrudishie hela yake aliyotumia....
Kwa mtu unaependa sayansi zidhani kama Amazon au Ebay zitakushinda ni very easy!
Mzigo utakuja kwa EMS directly kwako!
Au hata kabla hujanunua,chat na muuzaji umueleze address yako ya Tanzania hata kama ha-ship TZ umuombe a-ship utamuongezea hela kwenye payment yake!
Hua hawana shida ukishaongea nao na wakakubali!
Good luck!
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha nne, kuna project nataka nifanye ila sijui wap pa kupata microcontroller na gsm control
Naombeni msaada wenu
0687311340
Nipo DarUpo mkoa gani.... kama ni Arusha nenda stend ndogo kuna duka linauza sensor ,micro controller, gsm,bluetooth nk…
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia awe muangalifu na mataperi wa mitandaoni, mimi nimesoma cyber security ila ma-CE watakuja maana walisoma umeme na microcontroller semister zote
Sent using Jamii Forums mobile app