Natafuta low loader(lowbed) trailer.

Ba Brio

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
78
Reaction score
37
Wakuu
Kwa yeyote mwenye nalo au ana taarifa za mahali linauzwa tafadhali anijulishe kwa PM.
Sina uwezo wa kununua jipya; Nataka used au hata lililo down kabisa nikafufue. Ninachojali chassis na axles ziwe nzuri.

Asanteni.
 
Mzee hiyo used ningependa kuona lakin bei iko juu mno.
 
wakuu
kwa yeyote mwenye nalo au ana taarifa za mahali linauzwa tafadhali anijulishe kwa pm.
Sina uwezo wa kununua jipya; nataka used au hata lililo down kabisa nikafufue. Ninachojali chassis na axles ziwe nzuri.

Asanteni.

angalia ebay uk , ukipata lililo kwenye bajeti yako naweza kukusaidia kulileta bongo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…