Billy the Goat
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 566
- 353
Nahitaji Aina ya gari tajwa hapo juu sio ya kuimport from Japan nataka ambayo imeshatembea hapa TZ. Kama una details nipe picha pamoja na bei.
Ukikosa njoo nkuuziea Nissan Vanette,pick up,ton 1,petrol,Automatic staff year,nliagiziaga from japan,km 130,000,sijawahi ifanyia kaziNahitaji Aina ya gari tajwa hapo juu sio ya kuimport from Japan nataka ambayo imeshatembea hapa TZ. Kama una details nipe picha pamoja na bei.
Ukikosa njoo nkuuziea Nissan Vanette,pick up,ton 1,petrol,Automatic staff year,nliagiziaga from japan,km 130,000,sijawahi ifanyia kazi
ngumu,#B,NI Nzima kupita maelezo
OVA
...[HASHTAG]#The[/HASHTAG] Boss...ni pm namba yako ya whatsap nkurushie.....bei yake mln 9 mpaka 8.6m nakuachia gari ni nzima haijawahi kuguswa mashine au sehemu nyingine...picha na bei weka hapa
picha na bei weka hapa