Natafuta line ya mpesa na tigopesa

Natafuta line ya mpesa na tigopesa

Amoflo

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
207
Reaction score
13
Natafuta line ya kununua ya uwakala wa mpesa na tigo pesa, Mwenye nayo naomba tuwasiliane
 
Kwani kupata mpya gharama ipoje Mana some time virahisi vinakuja cost baadae
 
Sasa hivi utapata kwa urahisi ila baadae utapata usumbufu.Save the message.
 
Nakushauri uongezee pesa kidogo ifike 1mil. ili uchukue laini zote unazotaka kwa jina lako.Yaani milioni moja hiyohiyo unachukulia laini ya M-pesa,Tigo-pesa,Airtel money n.k,nikitendo chaku withdrawal tu pesa unaweka kwenye laiini nyingine unayotaka hadi unamaliza,simple and clear,shortcut is so dangerous.
 
laini zinatolewa bure, hiyo M 1 ya nn?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom