Habari wanajamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,
Nahitaji leseni ya gari daraja D haraka na upesi iwezekanavyo. Kama kuna mwenye ujuvi wa haya mambo njoo PM tuelekezane.Wale wazee wa town nahisi wamenielewa nahitaji nini na kwa njia gani.
Sent using
Jamii Forums mobile app