Natafuta laptop

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,661
Natafuta laptop ya kununua...leo hii au kesho tunafanya biasharaa iwe mpya au used sio mda mrefu sanaa..weka specifications za laptop ako hapa aina na bei halafu nitafute hapa 0759746825 au 0654463082

Kingine ni external iwe ya 600Gb au 500Gb weka kwanza bei hapa halafu unitafute
 
Nitafute 0787419289 nikupeleke ukachukue mpya kabisa na one year warranty ...humu utapata vimeo
 
Back
Top Bottom