haina tatzo lolote?nakupa 380
Iwe na sifa zifuatazo..
Ram isiwe chini ya 2gb.
Hard disk isiwe chini ya 320gb.
Iwe inakaa na chaji kwa japo saa 1..
iwe na DVD RW..
Bei iwe reasonable..
Ninayo Toshiba satellite L300, with
disk 500gb,
memory 3gb,
display 15inch
DVD writer
Iko katika hali nzuri, bei 300,000
Iko mwanza. Call me on 0767659145, email alphonce@alphonce.net
picha tafadhari,nimevutwa na hii kitu
Kama una whatsapp nipatie namba yako nikutumie sasa hivi
hapana,sina whatsapp kwa sasa,
km vp email me, dullyjr1@gmail.com
Ninayo Toshiba satellite L300, with
disk 500gb,
memory 3gb,
display 15inch
DVD writer
Iko katika hali nzuri, bei 300,000
Iko mwanza. Call me on 0767659145, email alphonce@alphonce.net
mie nina toshiba satellite l500 hdd150..chaja masaa matatu net...RAM2GB..mpya bado na nakupa na bego lake kwa 300k
piga 0787 408180
bei zako mbona zinachanganya?angalia vizuri ukiwa na bei moja tuongee,chek bei ya PM na hii
Uko Dar?
Mkuu nipe kwa 400k
Kama una laki 5 nakupa HP, Core i3, Hard disc 500, RAM 4, Processor 2.8. Ni PM.
Mkuu 440000 cash,nichek 0752385949