Eeh bana nina mpango wa kwenda dar kununua laptop kwa mara ya kwanza in dar,kuhofia kuingizwa mkenge maeneo ya kariakoo wala msimbazi sipiti kutafuta huu mzigo. Nataka kununua brand new laptop,hapa naomba ushauri wakongwe,plan yangu nikanunue pale Quality centre,ukiachilia mliman city ni wapi au maduka gani wanauza huu mzigo? Software zangu nyingi ni za 32-bit,lakini mpango wangu nichukue 64 bit,vp hazitazingua hizi software,like autocad na linux etc? Hiyo lap isizidi bei laki 8... Mwenye configuration nzuri anaweza atiririke pia. Msaada plz...!!

Core i3 4gb ram 2.3-2.5 ghz hdd 320-500 zipo kibao from 700 to 800
Mkuu ni Brand new kweli au used? Maana nimezunguka sana dar wiki ya pili sasa kwa specification hizo unazotaja Brand new ni kuanzia Milioni moja na ushee!!
Brand new box sealed unafungua mwenyewe