Fika pale machinga complex (ghorofa ya pili), Kuna wadau wengi wanauza used PC, waweza kubahatika kupata kwa hiyo tzs 200kWadau habari ya mchana, natafuta laptop, ofa yangu laki 2. Kama unayo na nzima basi nipm; aina yoyote na ukubwa wowote ilmradi tu iwe nzima. Hard disc iwe kuanzia 80 na ram angalau 2
Ni pm nikuelekeze wapi pa kupata laptop kwa pesa yako ulionanyoWadau habari ya mchana, natafuta laptop, ofa yangu laki 2. Kama unayo na nzima basi nipm; aina yoyote na ukubwa wowote ilmradi tu iwe nzima. Hard disc iwe kuanzia 80 na ram angalau 2
Ninayo laptop nzuri itakufaa hp. Nitakuuzia rahisi tu pindi ukiwa umeridhika iko fine. Nitumie namba yako inbox nitakutafuta nikirudi. Hivi sasa niko safarini narudi jumatano.Wadau habari ya mchana, natafuta laptop, ofa yangu laki 2. Kama unayo na nzima basi nipm; aina yoyote na ukubwa wowote ilmradi tu iwe nzima. Hard disc iwe kuanzia 80 na ram angalau 2
Wadau habari ya mchana, natafuta laptop, ofa yangu laki 2. Kama unayo na nzima basi nipm; aina yoyote na ukubwa wowote ilmradi tu iwe nzima. Hard disc iwe kuanzia 80 na ram angalau 2
Specs zake iko VP?View attachment 543249View attachment 543250
Mini hp hiyo itakufaa bei poa. Nauza sababu nimenunua nyingine. Laki 1 na 30.
Misha kutumia PM,nitumie pics tuongee biz.ipo
LG laptop
Core i5
ram 4gb
HDD 320GB
15.6" inch screen
ina matatizo mawiri
moja battery haikai chaji hata sekunde
pili Herufi Z,K,M n P na F2 hazifanyi kazi
ukiridhika na hayo matatizo yake njoo PM tuyajenge nitakutumia na mapicha nitakuuzia kwa laki na 50
150000/=
Kama bado unayo weka pichaipo
LG laptop
Core i5
ram 4gb
HDD 320GB
15.6" inch screen
ina matatizo mawiri
moja battery haikai chaji hata sekunde
pili Herufi Z,K,M n P na F2 hazifanyi kazi
ukiridhika na hayo matatizo yake njoo PM tuyajenge nitakutumia na mapicha nitakuuzia kwa laki na 50
150000/=
Sawa mkuu, nmeshakuja pmNinayo laptop nzuri itakufaa hp. Nitakuuzia rahisi tu pindi ukiwa umeridhika iko fine. Nitumie namba yako inbox nitakutafuta nikirudi. Hivi sasa niko safarini narudi jumatano.
Post sent using JamiiForums mobile app
Mkuu assnte, ngoja nijaribu hawa wadau wrngine kwanza, ikiwezekana ntakuchekiipo
LG laptop
Core i5
ram 4gb
HDD 320GB
15.6" inch screen
ina matatizo mawiri
moja battery haikai chaji hata sekunde
pili Herufi Z,K,M n P na F2 hazifanyi kazi
ukiridhika na hayo matatizo yake njoo PM tuyajenge nitakutumia na mapicha nitakuuzia kwa laki na 50
150000/=
Mkuu nko pm, haina matatizo?View attachment 543249View attachment 543250
Mini hp hiyo itakufaa bei poa. Nauza sababu nimenunua nyingine. Laki 1 na 30.
Mkuu unapatikana mkoa upi tufanye biashara