Natafuta laptop used ya kununua"

AdvocateFi

JF-Expert Member
Jan 15, 2012
11,492
5,040
Habari magreat thinkers! Jamani wakuu ninatafuta laptop used kwa ajili ya matumiz madogo madogo 2, nina Tsh 300,000/= cash, so kwa anayeuza naomba anijuze, but isiwe mbovu mbovu, nipo serious jamani.
 
mie ninayo mpya , imetumika miezi kidogo tu, bado ina shine kinoma,ina run win 7, naiuza kwa vile ninazo mbili. ila chini ya laki nne siuzi. kama uko serious jivute kidogo
 
mie ninayo mpya , imetumika miezi kidogo tu, bado ina shine kinoma,ina run win 7, naiuza kwa vile ninazo mbili. ila chini ya laki nne siuzi. kama uko serious jivute kidogo

Nimekupata mkuu but inabidi unichapie kwa hiyo beiu kwani ndo uwezo wangu unapogotea so kama upo frsh na hiyo bei mi nipo tayari.
 
nina toshiba 120gb hdd 1gb ram na siemens
fugitsu 80gb hdd 3gb ram @ 450000. Sumsung rc
512 750 gb hdd 4gb ram i7 850000 na hp mini
haikai na umeme ni 80 gb hdd 1gb ram utaipata
kwa 300000
 
mie ninayo mpya , imetumika miezi kidogo tu, bado ina shine kinoma,ina run win 7, naiuza kwa vile ninazo mbili. ila chini ya laki nne siuzi. kama uko serious jivute kidogo

weka spesfications zake kama inalipa tufanye biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom