Weka pichadu mi ninayo Kali Ila betri halikai chaji ukiipenda njoo inbox tuelewane
core i5
processed 2.4
HDD 120gb
ram 4gb
ni dell
Kukaa na charge muda mrefu peleka special order kwa watengenezaji.
- Iwe min au size yeyote
- Iwe katika hali nzuri
- Iwe na uwezo wa kukaa na chaji kwa mda mrefu.
- Niko Dar
- Core 3 au zaidi
nunua samsung moja (notebook) ina solar pia backpack yake nayo ina solar. muda wote inajichaji.Asante mkuu, lakini kigezo kikubwa kwangu ni betri kukaa na chaji mana nafanya project vijijini.