Mkuu yapo maalum kwa Laptop tu? nielekeze labda nitapita siku moja nimchekie mwanafunzi wangu, huenda uko unaweza kupata ya kumsaidia kuzugia chuo, Japo hizo upande wa Internet unasumbuaga sana, zinakuwa slow.labda kwenye maduka ya laptop chakavu!
labda kwenye maduka ya laptop chakavu!
Ipo Hp 6530b Harddisk 160GB, Processor 2ghz, Ram 2GB haina tatizo lolote bei tsh 330,000
mkuu ukifika pale roundabout ya uhuru na msimbazi ukiulizia utafikishwa boss wangu!!Mkuu yapo maalum kwa Laptop tu? nielekeze labda nitapita siku moja nimchekie mwanafunzi wangu, huenda uko unaweza kupata ya kumsaidia kuzugia chuo, Japo hizo upande wa Internet unasumbuaga sana, zinakuwa slow.
Tuma pichaa @DAVE2014
iwe na hali nzuri,plz,naomba wiki hii hii
nitashukuru sana wajameni
Ninayo pro book 4230s Nauza 370,000/ HD ni 360 ram 2gb Niambie tuonane wapi ukirizika mzigo uchukueiwe na hali nzuri,plz,naomba wiki hii hii
nitashukuru sana wajameni
Ninayo pro book 4230s Nauza 370,000/ HD ni 360 ram 2gb Niambie tuonane wapi ukirizika mzigo uchukue
we unatafuta calculator
Ongeza 70,000.
2.5 GHZ,Ram2, 80HDD. Windows 8.1 Pro