Natafuta land cruiser hardtop:

Mrbwire

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2009
Posts
200
Reaction score
53
Hello great thinkers,

Ninatafuta gari hyo, mwaka wowote ule but iwe katika hali nzuri. Budget yangu ni 18M-20M. Picha ni muhimu.

Mwenye nayo/mwenye taarifa za wapi ipo ani-pm. Natanguliza shukurani. :amen:
 
kuna jamaa anaiuza hapa kigoma bei ni 20 m. kama unataka niambie nikuunganishe naye
 
kuna jamaa anaiuza hapa kigoma bei ni 20 m. kama unataka niambie nikuunganishe naye

Mkuu voice of mtwara, naomba uniunganishe naye. Nitaku- inbox contacts sasa hv. Natanguliza shukurani. Wengine kama kuna mwenye taarifa tushituane wakuu.:help:
 
Mkuu haya magari yapo tofautitofauti kwa bajeti yako utapata zile leave spring za kuanzia 1999 kushuka chini ila ukitaka ya ukweli zile coil spring front jipange kidogo ila hiyo 20 kwa zile za zamani bado watakuwa wamekushika
 
Mkuu haya magari yapo tofautitofauti kwa bajeti yako utapata zile leave spring za kuanzia 1999 kushuka chini ila ukitaka ya ukweli zile coil spring front jipange kidogo ila hiyo 20 kwa zile za zamani bado watakuwa wamekushika

Mkuu Aspen, nashukuru sana kwa mchango wako! Sikuwa najua km kuna za leave na coil spring, and as a matter of fact hiyo kitu nisingeangalia achilia Mbali kuuliza.
Si kwamba za coil ni latest lakini ubora ni sawa? (Nifafafanulie pse)
mwisho naomba unisaidie ninapaswa kujikusanya mpaka ngapi kupata ya coil? (Ukinisaidia makadirio ya zenye coil na hizo za leaves itakuwa vema zaidi ili nisilizwe kaka)
 
Na mimi nataka Land cruiser Prado ya kuanzia 1997 ingini 1kz Diesel. iwekwenye hali nzuri bajeti yangu 11ml kama unayo fanya mawasiliano na mimi!
 
ipo hii ml.19 maongezi ipo vizuri maongezi yapo PM
 

Attachments

  • IMG-20130712-WA0002.jpg
    42.1 KB · Views: 153
  • IMG-20130712-WA0001.jpg
    37.1 KB · Views: 139
  • IMG-20130712-WA0000.jpg
    51.8 KB · Views: 137
Mkuu Mjasiria Akili, kitu kwa mwonekano wa nje iko vizuri. Kilichopungua ni picha za ndani na maelezo mengine muhimu km mwaka, kilometer ilizotembea na historia ya gari. Hata hivyo nimekupm kwa mawasiliano zaidi.

Natanguliza shukurani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…