Mtendaji wa kaya
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 334
- 60
Mwenye kuuza laini ya mpesa na airtel money wadau! tuwasiliane
kama upo arusha na una till number ni pm nikufanyie mchakato wa ya airtel money ni bure ni uwe na mtaji 2
Airtel ninayo, we huko wapi, nipm nikupe namba tuwasiliane.