Natafuta kununua kahawa kwa jumla

golden ratio

Member
Dec 25, 2015
85
38
Habari wakuu. Natafuta kununua kahawa kwa bei ya jumla ila sifahamu bei sasa hivi ikoje. Naomba taarifa kwa anayefahamu bei ya kahawa sasa hivi ikoje. Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom