Hivi kuchi ana faida gani hasuwa mpaka afike bei hiyo, nakumbukua nliwaona saba saba nikawauliza swali hilo jamaa alijibu eti ahaa kuchi wana nyama sana nikamuuliza kivip maana walikiwa wanauza laki mmoja nikamuuliz ukimchinja utapata nyama kg ngapi jamaa akasema mpaka kg tatu,mmhh ina maana hata wanaofuga hawajui wanauza bei hiyo kwa sbb gani,iyo biashara naifananisha na ule mvumo wa kware ,mpaka sasa hivi sijui wamefikia wapi maaana watu mpaka walikopa kwa ajili ya kufuga kware, /onyo ogopa biashara za mlipuko.