Natafuta kontena la kununua - 20 ft ......

payuka

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2010
Posts
829
Reaction score
128
Mwenye contena tafadhali ani-pm tuongee biashara

Liwe Dar es salaam pls

Liwe na document zake .....au muuzaji atoe uhakikisho kwamba yeye ni mmiliki halali!
 
Bado sijapata wakuu! Hakuna aliyeagiza vitu nje vikaja ndani ya kontena ambalo pia ni mali yake?
 
Bado sijapata wakuu...........na ninahitaji sana tu!
 
What is your offer. Utalisafirisha mwenyewe kutoka lilipo?Nadhani wewe unataka accidented container ambyo watu wanatumia kwa maduka au kuwekea vitu?You can as well PM me nisije nikasahau.
 
ahahahahahaaaaa...wala siyo deal wala nini...nenda pale sinza along shekilango road mitaa ya makaburini kuna godown moja linauza biaza jumla la wakala wa serengeti lager gonga hodi pale ingia ndani kuna containers kama utitiri hadi za 40ft..pesa yako tuu ... hizo habari za document na usafiri utaongea na muuzaji ndio anayajua hayo... naamini nimekusaidia.... ukiuza bia utanikumbuka kwa kunipa discount ya bia mbili za mwanzo nitazokunywa kwenye container baa yako
 
Shukrani sana mkuu kwa info! Mambo yakienda fresh nitakufahamisha wapi uje kuchukua " Takrima"
 
Mwenye contena tafadhali ani-pm tuongee biashara

Liwe Dar es salaam pls

Liwe na document zake .....au muuzaji atoe uhakikisho kwamba yeye ni mmiliki halali!

Ulipata?
 
Back
Top Bottom