Wakuu,
Natafuta kompyuta ya mpakato (laptop) yenye specifications zifuatazo au zinazokaribiana na hizo;
1. HDD: 500GB+
2. Processor: Core i5 au i7.
3. Operating System: Windows7 au 10 yenye 64-bit
4. Memory: 0.4k+ MB RAM
Budget yangu ni 800,000/=
Mwenye nayo anipm.
Karibuni.
Chief naomba unisaidie kama unafahamu sehemu au duka wanauza laptop nzuri kwa hapa dar es salaam kuna duka nilikuwa nalikubali mtaa wa samora nimeshanunua laptop mara tatu lakini kati ya miezi michache computer inakuwa na natatizo kwenye betri na display
Uhuru warranty hadimu mno...sina uzoefu nayo sana hayo maduka, hawakupi warranty? kwanini usiwarudishie?
ninavyofahamu wanao supply vitu maofisini mara nyingi wanakuwa na bidhaa nzuri jaribu freedom computers jmall, office depot au hata wale capricon morogoro road karibu na mwendokasi kisutu. ila tu bei zao jiandae ni ghali compare na maduka ya kawaida ya uhuru
yap na hata pc zao hazina windows genuine, wananunua za dos au ubuntu then wanakuja kueka windows za kuchakachuaUhuru warranty hadimu mno...
mkuu unajua si kila tatizo linakuwa ni la hardware, mfano windows 10 inayo bug la display kama unavyoelezea na kusolve inabidi ui update pc to latest version linaondoka.Nashindwa kuwarudishia sababu haya matatizo huwa yanatokea siku na siku kama hili la display sio mara kwa mara na ukiizima ukija kuwasha tena basi itawaka kama kawaida lilianza kutokea baada ya miezi saba au nane toka nilipoinunua nikaona isije kunisumbua baadae kuna jamaa yangu nilimuuzia saizi inamsumbua sana kwenye display akitaka kutumia inabidi mpaka aiinamishe ile screen
kama ni win 7 inatumia cpu gani? kama ni hizi mpya za karibuni hili nalo pia tatizo sababu hawasuport driver za win 7 kwenye cpu mpyaAhsante chief nitalifatilia hilo ingawaje nilikuwa natumia window 7
Dell vostro 1540 (intelcorei3-370M)
umenunua freedom hii? ni cpu ya toka 2010, sidhani kama ni mpya hio laptopDell vostro 1540 (intelcorei3-370M)
Chief...naomba unisaidie jinsi ya kupata build number ya simu ilio brick....naitaji kupakua stock ROM....simu ni tecno w4sina uzoefu nayo sana hayo maduka, hawakupi warranty? kwanini usiwarudishie?
ninavyofahamu wanao supply vitu maofisini mara nyingi wanakuwa na bidhaa nzuri jaribu freedom computers jmall, office depot au hata wale capricon morogoro road karibu na mwendokasi kisutu. ila tu bei zao jiandae ni ghali compare na maduka ya kawaida ya uhuru
jaribu kucheki nyuma ukitoa battery kama utapata clue yoyoteChief...naomba unisaidie jinsi ya kupata build number ya simu ilio brick....naitaji kupakua stock ROM....simu ni tecno w4
Nimeangalia ila ckufanikiwa nlichoona ni Imei number tujaribu kucheki nyuma ukitoa battery kama utapata clue yoyote