Abuu Kauthar
JF-Expert Member
- Jul 10, 2011
- 4,489
- 6,883
Maana ulisema hcho chako hata 14 huwez chukua
Mkuu bunju b vipi??Wamegoma bna
Maana ulisema hcho chako hata 14 huwez chukua
Mkuu bunju b vipi??Wamegoma bna
nenda huko mkuu hutojutia ukipata mahali pakavuKiasi gani?
Bunju poa kwangu bei ganiMkuu bunju b vipi??
Upana 35m urefu 56m bei mil 21 umeme nguzo ipo mbele ya kiwanjaBunju poa kwangu bei gani
Huyo nyumba iko wapi?Kuna nyumba na eneo 20x30 million 30
0789091791
kibadaWapi huko?
kimepimwa?Mimi ninacho mbezi kinzudi nataka 14 nimeshaanza msingi nimeshindwa kuendeleza pesa hakuna msingi nimesha uwekea rinta na pia kuna tofali 700 na
Kwa yale uliyotenda jana sikutegemea kukuona leo, kwa bei hyo vpo mkuu na nilishaonyeshwa, tatizo sio km nilivyokuwa nataka, ndio maana nikasema pia inategemea na sehem na factor nynginezoMakongo? Changanyikeni?? Milioni 15??? Si kungekuwa kumejaa nyumba nyingi sana kama bei yenyewe ndio hiyo? Kajaribu Goba au Bunju