Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
goba b ni wapi?naifahamu goba ila v sijasikia.hebu elezea lo
cation zaidi
Kata GobaB ,mtaa kinzudi.
Unaweza pitia salasala, mbele kidogo ya salasala. Umeme upo
goba b ni wapi?naifahamu goba ila v sijasikia.hebu elezea lo
cation zaidi
Happy new year....
Wana Jf naimani mpo Salama salimin,
Natafuta Kiwanja, budget 5-8M kiwe kimepimwa, mkoaa wa Dar, (kigamboni, temeke,....)