Natafuta kiwanja

Natafuta kiwanja

mamakibunju

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2013
Posts
1,009
Reaction score
222
Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa hivi au hata baadaye ,Maji na Umeme Yawe Yameshafika na Kiwe kinafikika kwa gari..Natanguliza Shukrani
 
Kiwe kina ukubwa wa Kujenga Nyumba Ya Vyumba 4 Na Parking ya Magari 3 plus hizo sifa nilizotoa hapo Juu
 
Kiwe kina ukubwa wa
Kujenga Nyumba Ya Vyumba 4 Na Parking ya Magari 3 plus hizo sifa
nilizotoa hapo Juu

Njoo Kigamboni Mwasonga, kuna heka 8 kila moja milioni 4 na mazungumzo yapo. Utakatiwa eneo kutokana na mahitaji yako. Pana sifa zote ulizozitaja isipokuwa umeme ndio unakuja.
Unaweza kufuga, kulima, maji ya kuchimba na pana mto karibu.
 
Mwasonga iko wapi mkuu? Njia ya kimbiji au?
 
Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa hivi au hata baada

ye ,Maji na Umeme Yawe Yameshafika naKiwe kinafikika kwa gari..Natanguliza Shukrani
mkuu mimi nina kiwanja mbezi maramba mawili kama vipi ni PM
 
Nauza kiwanja kipo kibaha picha ya ndege kina hati ukubwa sqm 685 bei 5m simu no 0759258748.asanteni
 
Njoo kimara suka maeneo ya golani 1.3km from morogoro road. kina ukubwa wa hatua 25x40 na kina msingi full wa nyumba bei 15m maelewano yapo kidogo 0714783571
 
Natafuta kiwanja maeneo ya Tegeta,Boko,Ununio,Mbweni, Kimara,Mbezi,Kipunguni,Chanika,Kigamboni...Kisiwe Mbali na Barabara na Kiwe sehemu nzuri ambayo nitaweza kuweka hata frem za biashara sasa hivi au hata baadaye ,Maji na Umeme Yawe Yameshafika na Kiwe kinafikika kwa gari..Natanguliza Shukrani

salasala , mbweni , tuwasiliane ninavyo viwanaja vina hati kabisa
 
Magomeni Fundikira kuna kisehem cha kama vyumba vinne straight 1 Mil.
0766589444
 
njoo nkuuzie kiwanja changu kigamboni amani gomvu, hakipo mbali na barabara kuu ya lami inayoendelea jengwa.....kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1700, kiwanja kimepimwa
 
njoo nkuuzie kiwanja changu kigamboni amani gomvu, hakipo mbali na barabara kuu ya lami inayoendelea jengwa.....kiwanja kina ukubwa wa sqmt 1700, kiwanja kimepimwa

Kiasi gani?
 
Asanteni Wakuu kiwanja nimeshapata sehemu niliyoitaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom