Natafuta kiwanja

Natafuta kiwanja

Magomeni Fundikira kuna kisehem cha kama vyumba vinne straight 1 Mil.
0766589444
Unaposema vyumba vinne unakosea, pengine vyumba vinne kwako ni Sawa na viwili kwa mwingine.

Cha msingi wewe weka vipimo vya ukubwa wake hapa, kwa mita au futi na sio hatua maana nazo zinatofautiana!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom