Natafuta kiwanja

Natafuta kiwanja

mkweli wa mambo

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2013
Posts
329
Reaction score
180
Habari zenu wakuu..ebhana natafuta kiwanja cha kununua dar sehemu yoyote ile.. bei ikizid 5m ntakuwa muongo..plls walio serious mawasiliano ayo apo 0758596153
 
Kuna kiwanja na nyumba maeneo ya Kibamba kwa Mangi inauzwa nyumba imeshafikia enrolled la Libya na bei yake 10milion.Maongezi yapo kama upo serious nipigie hapa 0787577755
 
Kuna kiwanja na nyumba maeneo ya Kibamba kwa Mangi inauzwa nyumba imeshafikia enrolled la Libya na bei yake 10milion.Maongezi yapo kama upo serious nipigie hapa 0787577755

Thanks mkuu kwa concern yako..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom