Aika Mndumii
Senior Member
- Jan 19, 2013
- 164
- 47
a) Eneo la kibada (Kigamboni)
b) Ukubwa wa eneo isiwe chini ya mita za mraba 950
c) Kiwanja kiwe upande wa kushoto wa barabara kama unaelekea Kibada
d) Kikiwa maeneo ya full shangwe ni vizuri zaidi.
e) kisiwe umbali zaidi ya 15km kutoka fery.
f) Kiwe kimepimwa na kina hati safi (iliyolipiwa ada za ardhi). Kiwe kwenye viwanja vya mradi eneo la kibada
g) Umeme uwe jirani
h) Kama unacho na wewe ni dalali utakula % yako kwa muuza kiwanja na siyo kwangu.
i) Kutoka barabara ya kibada umbali usiwe zaidi ya 1km
j) Offer yangu ni 15m
k) Maji si lazima (najua hakuna maji ya DAWASCO) nitachimba kisima mwenyewe
L) Mimi mwenyewe ndiyo nahitaji
Kama unacho weka namba yako ya simu nikupigie.
Ombi: Usije na pendekezo la eneo lingine maana mimi nataka eneo la kibada na siyo vinginevyo.
Asante sana wakuu.