Natafuta kiwanja

Malikauli

Senior Member
Mar 3, 2012
147
113
Habari ya leo mabibi na mabwana.Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga kakibanda kakujihifadhi mimi na makinda yangu.Nipo Dar es salaam,maeneo nayopendelea ikiwezekana ni uelekeo wa Tegeta kwenda mbele au Uelekeo wa Kimara.I am not limited to my choices,kama unakiwanja popote isipokuwa Kigamboni tuwasiliane kwa 0689326120.Ofa yangu itakuwa between 8 and 13M.
 
Vipo Bagamoyo vimepimwa na unapewa na hati kabisa!

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
wewe usiitazame kigamboni ya leo angalia kigamboni ya kesho shauri yako
Habari ya leo mabibi na mabwana.Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga kakibanda kakujihifadhi mimi na makinda yangu.Nipo Dar es salaam,maeneo nayopendelea ikiwezekana ni uelekeo wa Tegeta kwenda mbele au Uelekeo wa Kimara.I am not limited to my choices,kama unakiwanja popote isipokuwa Kigamboni tuwasiliane kwa 0689326120.Ofa yangu itakuwa between 8 and 13M.
 
wewe usiitazame kigamboni ya leo angalia kigamboni ya kesho shauri yako
Nashukuru kwa ushauri kaka ila mimi pia kuna vigezo vyangu vyanifanya nisiweze kuishi Kigamboni.Hata hivyntaufanyia kazi ushauri wako
 
Nashukuru kwa ushauri kaka ila mimi pia kuna vigezo vyangu vyanifanya nisiweze kuishi Kigamboni.Hata hivyntaufanyia kazi ushauri wako

Kiongozi, can you share vigezo vyako vya kutokutaka Kigamboni? Inaweza kuwasaidia wengine pia...
 
Nauza kiwanja changu.

Wapi?
Kimara Mavurunza. Kilometa mbili kutoka Kimara mwisho.
Ukubwa? mita 28 kwa 26
Bei?
milioni 15
Sifa zingine?
. Umeme upo
. Barabara ipo mpaka kiwanjani
. Ni sehemu ambayo tayari kumeshajengeka
. Usafiri wa daladala upo
. Ni karibu sana sana na barabara kubwa
. Hakuna dalali
Mawasiliano? 0782 230159

Usiogope bei inazungumzika
 
Habari ya leo mabibi na mabwana.Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga kakibanda kakujihifadhi mimi na makinda yangu.Nipo Dar es salaam,maeneo nayopendelea ikiwezekana ni uelekeo wa Tegeta kwenda mbele au Uelekeo wa Kimara.I am not limited to my choices,kama unakiwanja popote isipokuwa Kigamboni tuwasiliane kwa 0689326120.Ofa yangu itakuwa between 8 and 13M.

jaribu kucheki na hii link www.dfining2morrow.blogspot.com
 
ukihitaji kigamboni karibu na kwa pinda alipojenda chuo cha mkulima vocational training centre njia ya kwenda kongowe nitwangi n0 0712 769766 nauza mita 32* 40 milioni sita hakina mazungumzo.
 
Habari ya leo mabibi na mabwana.Natafuta kiwanja kwa ajili ya kujenga kakibanda kakujihifadhi mimi na makinda yangu.Nipo Dar es salaam,maeneo nayopendelea ikiwezekana ni uelekeo wa Tegeta kwenda mbele au Uelekeo wa Kimara.I am not limited to my choices,kama unakiwanja popote isipokuwa Kigamboni tuwasiliane kwa 0689326120.Ofa yangu itakuwa between 8 and 13M.

Naomba uiondoe TEGETA kabisa kwa bajeti hiyo
 
nina kiwanja kipo karibu na mvuti sehemu inaitwa kitonga. ukitoka mbagala unapanda gari ya mvuti unapita chamazi msongola unashuka kitonga. kinafikika kwa barabara. kilometa 2 toka barabara ya lami, ni tambarare. kina ukubwa wa mita 50 kwa 50 bei milioni 11. ni wilaya ya ilala tarafa ukonga kata ya msongola mtaa kitonga piga 0754 571000
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 
kosa ulilofanya ni kutaja kbs hela ulonayo. Hata vichuguu utauziwa kwa milioni 10!

Uwage mjanja mara moja moja. Bei unamwacha muuzaji ajinyonge mwnyw..unathaminisha kiwanja then unaweza kubargain.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom