Natafuta kiwanja

Natafuta kiwanja

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,028
Reaction score
59,657
kiwe dar,bagamoyo,au pwani.
unalipwa cash hapo hapo baada ya kuelewana.
price.not more than 15 mln
 
Nipigie 0754383174, viwanja vipo kibaha Pwani. Nitwangie wakati wowote. Naitwa Hamadi Mfaume.
 


Vipo Mbezi Msumi kilomita 8 kutoka Mbezi mwisho.Vipo karibu na Kanisa Katoliki kigango cha Mt Teresa Benedicta wa Msalaba. Kuna usafiri wa daladala kutoka Mbezi mwisho mpaka hapo nauli shilingi 400. Kiwanja kimoja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 20 kinauzwa shilingi 3mil. Kwa viona au maelezo ya ziada piga simu nambari 0717114409.
 
kiwe dar,bagamoyo,au pwani.
unalipwa cash hapo hapo baada ya kuelewana.
price.not more than 15 mln

Mkuu..nina eka mbili Madale/Goba area....nataka miliioni 30 tu...if you are interested let me know
 
Nina kiwanja eneo la Magogoni, Bei nafuu sana. Kama upo serious ni-pm!
 
Kama kweli upo siriasi kiwanja kipo kijichi kimepimwa na ni low density bei milion 18, ukubwa wake ni sqm 1700

kiwe dar,bagamoyo,au pwani.
unalipwa cash hapo hapo baada ya kuelewana.
price.not more than 15 mln
 
nina viwanja maeneo ya mwembe mtengu 5km frm kibada nusu eka 5m ni pm
 
Nunua kiwanja maeneo ya Mbezi kwa Msuguri (Temboni, Msingwa) na Kinyerezi-Kifuru, Dar es Salaam.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na ndugu Oswald Sh. Richard kwa simu namba :
00255784342632 au +255767342632
E-mail : cosiastore@yahoo.fr

1. Kiwanja cha kwanza kipo Mbezi kwa Msuguri, umbali wa kilomita tatu toka barabara ya Morogoro. Kiwanja hiki kipo kando ya barabara ya Msingwa ambayo ni ya changarawe na inapitika. Kina mita 30x40, pia kina nyumba ya vyumba viwili na baraza mbili. Nyumba hii ina umeme. Pia maji yanapatikana mita mia tatu toka kiwanjani. Bei yake ni Tshs. 55 milioni.

2. Kiwanja cha pili kipo Mbezi kwa Msuguri pia. Kuna umbali wa km 2 kutoka barabara ya Morogoro. Barabara ya kuelekea kiwanjani (maeneo ya mtaa wa Temboni) ni ya changarawe na inapitika. Kina ukubwa wa 1350M[SUP]2 [/SUP]
Kimepimwa na hati miliki yake ipo mbioni kutoka. Pia kina uzio wa waya. Bei yake ni Tshs. 60 milioni. Kuna maji umbali wa mita 200 kutoka kiwanjani. Umeme upo.

3. Viwanja vingine vipo eneo la Kinyerezi-Kifuru, umbali wa kilomita 1 toka barabara ya Kinyerezi-Mbezi. Hivi vipo viwanja 14. Vina ukubwa usio sawa.Vipo vya mita 22x25, 20x23, 27x23 na 20x20. Bei zake ni Tshs. 7 millioni kila kimoja. Eneo hili limefikiwa na mradi wa Serikali wa kuwekewa umeme, na wameshaweka nguzo ila bado kuweka nyaya na hatimaye kukamilisha mradi. Maji ya uhakikika kwa sasa ni kama umbali wa kilomita 2.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom