yakub yusuf
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 319
- 86
No
shughuli gani?Kimara mpaka kibamba ni maeneo ninayo yapenda na ambayo naona itakuwa rahic na shuhul zangu
kama utakuwa tayar me nnacho mbezi sio kikubwa sana kina msingi wa vyumba vitatu tayar mil3 nauza
Ni ukubwa wa kiasi gani na mbezi ipi hiyo mkuu?
Million 2 unachukua?????kama utakuwa tayar me nnacho mbezi sio kikubwa sana kina msingi wa vyumba vitatu tayar mil3 nauza
Kigamboni sehemu gani na unauzaje?Kipo kgamboni nitafute 0623693653
Njoo nikupe kiwanja kizuri boko magengeni tena kiwanja kina fensi na frem za duka mbele ni kizuri sana hakuna hata kilometer moja toka main road ukija huwezi kukiacha kwani kina sifa zote maji, umeme, barabara nzuri haina mashimo nk. Ukiwa serious# 0712464777Habar wadau?natafuta kiwanja kwaajil ya makaz kiwepo maeneo ya kimara mpk kibamba pia kuwepo na huduma za jamii kama umeme maji nk,kisiwe mbali zaid ya km2 kutoka barabara kuu ya morogoro rd.mwenye taarifa msaada.
Ya kweli hayakama utakuwa tayar me nnacho mbezi sio kikubwa sana kina msingi wa vyumba vitatu tayar mil3 nauza
umbali gani toka mbezi mwisho mkuu..??mbezi mwisho unapanda hiace za kwenda ghoba mpakan,,, urefu m20 up15
Million 2 unachukua?????
Umbali
umbali gani toka mbezi mwisho mkuu..??