Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

Natafuta kiwanja Tegeta, Goba, Bunju, Boko

Hicho cha goba kina ukubwa gani!!? Na kipo goba sehemu gani?
Kipo maeneo ya Goba darajani, Pia kimekaa sehemu nzuri ambayo ni flat kabisaaaa, metre 60 kutoka barabara kuu ya Goba Makongo!
 
img_20150724_182036-jpg.342251



jamani nimefuliaaa mwenye pesa naomba nimuuzie hiki kiwanja
 
Oooh sawa kabisa, tunakata plot 20 kwa 25 bei 6.8ml maeneo ya mbele ya bunju kidogo ukivuka daraja tu maeneo ya kyaraka
Ndugu mkoa wa pwani nna mashamba ya kutosha ndiyo maana nkawa nnatamani nipate maeneo ya mjini Dar es Salaam
 
Mkuu bado una hii huduma? Mimi natafuta kiwanja au shamba maeneo hayo
kwa mahitaji ya viwanja na mashamba kwa maeneo ya tegeta,boko,bunju na bagamoyo call:0657528088 karibuni sana
 
KUA MAKINI SANA , NA MAENEO ULIYOYATAJA KWANI NDO MAENEO YANAYOONGOXA KWA UTAPELI WA VIWANJA KWA HAPA DAR ES SALAAM
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom