Natafuta kiwanja Tabora Mjini..

Dotowangu

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
242
77
ndugu zangu walioko Tabora mjini mimi natafuta kiwanja kilichopimwa size ya kati (medium) chenye ofa au hati kabisa. Kiwe kinafikika kwa gari na pia kisiwe mbali sana na barabara.. kuu kisiwe kinajaa maji hasa kipindi hiki cha masika.. Kama unacho au una mtu unamfahamu tafadhali naomba unitumie private message(PM) ili tuanye biashara ya kuuza na kununua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…