Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

Inevitable

Member
Apr 27, 2012
82
159
Wakuu,

Niliandika hapa Novemba 2020 (ref Natafuta Kiwanja cha kujenga jijini Dar. Nina Sh. Milioni 40 ) nikitafuta kiwanja na wakati huo nilikuwa na 40m tu. Viwanja vingi nilivyopelekwa ilibidi nirudi kujipinda nitafute pesa zaidi ili nipate kiwanja ninachotaka hasa. Kwa sasa bajeti yangu ni TSH. 180,000,000 ingawa naweza kujivuta ikafika 200,000,000 nikipata kiwanja kizuri, eneo zuri.

Natafuta kiwanja kilichopimwa hasa maeneo ya Mbweni, Ununio au hata kwingine lakini maeneo ambayo tayari yameendelezwa.

Kama unacho kiwanja (chako mwenyewe) au unamjua mwenye kiwanja maeneo haya, tafadhali niunganishe. Nimekutana na madalali, sometimes wanakuchosha kwa kukupitisha maeneo mengi wakati mtu ratiba yako iko so limited.

Asante
 
Mkuu Kama uko serious Kuna kiwanja kina Nyumba ya kawaida , Eneo Ni Kijitonyama. Sehemu imepangika sio uswahilini.

Kama uko tayari njoo nikupeleke. Na Bei haifikii hiyo ya kwako.

Kama uko tayari karibu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom