jabulani jabulani
Member
- Jul 30, 2019
- 69
- 32
habari Za Leo wadau wangu ....Jamani mm ninashida na kiwanja maeneo ya kibaha kiluvya hata vikiwa viwili nitashukuru Sana Sana au kama SHAMBA lipo maeneo hayo kuanzia heka 3 na KUENDELEA aliyetayari anayejua muuzaji animal pm anipe offer. Asanteni
Unataka kujenga au kulima
Mkuu kwanini usitafute eneo lilopimwa upate hati yako na uhakika wa neighbourhood nzuri. Huko Kibaha makampuni mengi ya upimaji yamepima viwanja.option ya KWANZA ni ya kujenga mkuu
Mkuu kwanini usitafute eneo lilopimwa upate hati yako na uhakika wa neighbourhood nzuri. Huko Kibaha makampuni mengi ya upimaji yamepima viwanja.
Kwani yeye kasema hataki eneo lililopimwa?Mkuu kwanini usitafute eneo lilopimwa upate hati yako na uhakika wa neighbourhood nzuri. Huko Kibaha makampuni mengi ya upimaji yamepima viwanja.
habari Za Leo wadau wangu ....Jamani mm ninashida na kiwanja maeneo ya kibaha kiluvya hata vikiwa viwili nitashukuru Sana Sana au kama SHAMBA lipo maeneo hayo kuanzia heka 3 na KUENDELEA aliyetayari anayejua muuzaji animal pm anipe offer. Asanteni
Hapana sipo Kibaha.. ila nina interest uko, njoo pm nikupe namba ya wahusika wa kampuni inayo fanya hizo kazi.Asante mkuu Kwa ushauri wako nami nitaufanyia kazi hakika. Japo sijayajua hayo makampuni Bado huko k/baha
Wewe wasemaKwani yeye kasema hataki eneo lililopimwa?