natafuta kiwanja - njiri arusha

natafuta kiwanja - njiri arusha

Architect E.M

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
1,240
Reaction score
1,478
heshma kwenu wakuu,,, natafuta kiwanja maeneo ya njiro, prefarabbly eneo lililopimwa, lililopo ndani ya manispa,,, anywhere in njiro, corona, kwa msola, gorofa mbili..kokote pale wakuu.... Average area ichezee sq.m 500 hadi 800 ivi,, zaidi ya hapo najua itakua gharama sana, na sitaweza,,,

natanguliza shukrani za dhati...
 
mods kama ikiwezekana nawaomba mnieditie title,,, NJIRO badala ya njiri,,,, nakuombeni msamaha wakuu
 
mkuu nasikia huko viwanja noma!!!! bei km za kitalii

ngoja waje tuone, inawezekana washkaji huwa wananiogopesha tu
 
mkuu nasikia huko viwanja noma!!!! bei km za kitalii

ngoja waje tuone, inawezekana washkaji huwa wananiogopesha tu

yes mkuu,,, kiukweli bei za huku zinaua saana,,,, nadhani njiro ndo the future masaki au osterbey ya arusha, kwa hali ilivo sasa, bado haijafikia viwango hivyo, but huko mbeleni lazma ifikie
 
Mkuu Architect E.M viwanja Njiro ni bei ghali sana ukipata cha bei nafuu haipungui tsh 40,000,000/=@.Nakushauri nenda maeneo ya Gomba Estate viwanja bado bei yake haijaingiliwa sana na madalali na uzuri wa huko viwanja vimepimwa.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna mkoa wenye ardhi ghali nchini Tanzania kama Arusha,asee! kipande tu,bei yake utashangaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom