Top Thinker
Senior Member
- Sep 8, 2011
- 183
- 125
nenda jangwani uliza mkuu wa mkoa wa dar saddick atakusaidia zaidi akikosa atakupa vile vya kuleeeeeeeeeeee onyo usichague kiwanj kiwanja
Wakuu naomba mnishauri kwa shilingi Milioni 3 naweza pata kiwanja kizuri maeneo gani? Angalau kisiwe pembeni sana ya DSM ukubwa usiwe chini ya 20x20.
Je inawezekana kumpata mtu anayeuza kiwanja pasipo kupitia kwa dalali?
Wazoefu naomba mnisaidie.
Wakuu naomba mnishauri kwa shilingi Milioni 3 naweza pata kiwanja kizuri maeneo gani? Angalau kisiwe pembeni sana ya DSM ukubwa usiwe chini ya 20x20.
Je inawezekana kumpata mtu anayeuza kiwanja pasipo kupitia kwa dalali?
Wazoefu naomba mnisaidie.
Nipigie kwa namba 0713596266 ninavyo viwanja kadhaa kuanzia 3.5 million to 2million viko Mbezi makabe(Km 3.5 kutoka morogoro road pale stand ya mbezi mwisho)na mbezi msakuzi Km 4.5 kutoka morogoro road pale stand ya mbezi mwisho)
20 x 30 kwa Tshs 3.5 Million, Mbezi Luis.
Sema Na huyu mtu, 0755 532 666,
Hizo ni mita mkuu, Na mwenye kiwanja ni mdada nlishawahi kupiga nae issue fulani hivi ndio akanstua. Kiwanja ni tambarare Na kiko mtaa poa tu. Better ucheki Na mdada akupe more details.mkuum20x30 ni nini?..meter. futi au MIGUU?..maana hata mie nahitaji ila iwe ni meters.... natumai huyu mwenye namba ni mmiliki na sio middoman...
nipe jiografia ikiwamo kufikika na gari pia na uwepo wa umeme, usisahau milima na mabonde ya eneo...maana hii mbezi na kimara unaweza kununua kiwanja 3m ukatumia 20m kukitengeneza na magreda...NIPO SERIUOUS PLIZ
Mkuu, ni Msakuzi ipi hiyo nijulishe tafadhali,
Je kwa Ipelanya, au Makamba P/school au kwa masister? Mie nataka kule kwa Mkapa, unacho?