Natafuta kiwanja mwenge

Mwenge du kweli bado kuna viwanja? Labda ukajichukulie kile cha karibia na kwa Mtume na Nabii Mwingira ujenge maana kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu atakusamehe tu
 
huwezi kuchukua karibu na loyola sekondari ni kama mita 100 kutoka barabara kuu ya lami,unaweza kupata kwa bei hiyo upo serious? Kiwanja kimepakana na mradi wa hostel za loyola sekondari ikimaanisha unaweza kuwekeza pia ukilinganisha mahitaji ya wanafunzi na wakazi nipigie 0659197822
 
Kwanini usifikirie kununua eneo kubwa kama una hela hizo? Kuna heka moja salasala juu inauzwa kwa milioni 25. Piga 0715692008
 
kuna nyumba gofu lina eneo nzuri kama uko serious nipigie tukamalize biashara mi ni dalali 0657145555
 
Kuna heka moja Mbagala mwisho wa upepo na nusu heka Mbagala mchambia wembe bei ni mil 12 na mil 7..,sema tufanye biznez
 
Ubungo jirani na chuo kikuu cha Dar kipo upana 20mx50m. Eneo zuri la kufanya biashara. bei mil 60, usichelewe. nicheki kwa 0762738485
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom