Natafuta kiwanja Mwanza

Natafuta kiwanja Mwanza

Mchoropa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2014
Posts
402
Reaction score
304
Kiwanja cha kununua kwa pesa isiyozidi mil.3 au 3.5 kiwe karibu na huduma muhimu kama maji,umeme na barabara ndani ya viunga vya MWANZA tuwasiliane kwa 0655206989.

ANGALIZO: NI LAZIMA KIWANJA KIWE NA UMILIKI HALALI KISHERIA VINGINEVYO USIJISUMBUE@
 
Hata kama mtu anauguliwa kwa bei hiyo na masharti yako ni sawa na kusubiri meli airport
 
Hata kama mtu anauguliwa kwa bei hiyo na masharti yako ni sawa na kusubiri meli airport

Kwa bahati nzuri kinapatikana ndugu, kaa ukijua shida hazifanani@
 
Sidhan kama utapata kwa pesa hiyo, hata kisesa au Busagala so rahisi kwa fedha hiyo. Mi nakwambia kama mwenyeji na mmiliki mzuri wa viwanja hapa mwanza, usijisumbue kuwaza kwamba utapata

Kiwanja cha kununua kwa pesa isiyozidi mil.3 au 3.5 kiwe karibu na huduma muhimu kama maji,umeme na barabara ndani ya viunga vya MWANZA tuwasiliane kwa 0655206989

ANGALIZO: NI LAZIMA KIWANJA KIWE NA UMILIKI HALALI KISHERIA VINGINEVYO USIJISUMBUE@
 
labda magu si unafahamu huko pia ni ndani ya mwanza

Endelea kupga kelele hpo nimenunua m. 1 na lak mbil na ni ppf
 
Attachments

  • 1441564558609.jpg
    1441564558609.jpg
    99.7 KB · Views: 169
Endelea kupga kelele hpo nimenunua m. 1 na lak mbil na ni ppf

nadhani ni ppf na unaingia ndani zaidi... hata hivyo kwa hiyo bei sina imani na ukubwa wake!!!
ukwel kwa 3.5M anaweza pata kiwanja ila sio maeneo yenye umeme au maji kwa pamoja, labda afanye jitihada ya kuvuta mwenyewe....
 
Yeah hata kama kimojawapo hakitakuwepo nitajiongeza mwenyewe@
 
Utafiti niliofanya unaonyesha madali uwa wana dharau sana kuhusu pesa,kuliko mwenye mali,wenye Mali uwa hawana tatizo na madali uwa wanataka wapate zaidi kuliko mwenye mali.

Hivi nyie madalali ni nani aliyewarogaaaaaaa
 
Money Stunna: umeongea point sana mkuu, keep it up!
 
Last edited by a moderator:
Kiwanja kinauzwa maeneo ya airport ilemela mwanza. Ukubwa sqm 266. Bei 2ml. 0753101293
 
Good luck viwanja vipo hata ukitaka kenyatta road unapata. Wackustue bnaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom