mamakibunju
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,009
- 221
Wakuu natafuta kiwanja cha bei poa maeneo tajwa hapo juu, kisiwe mbali na barabara kuu, Na prefer chenye hati au offer, Kianzie Square Metre 1000 kisizidi 1200, kikipatikana cha square metre 800-900 i dont mind
Natanguliza shukrani
N.B Nimekosea hapo juu ni Salasala sio Saladala
Natanguliza shukrani
N.B Nimekosea hapo juu ni Salasala sio Saladala