Natafuta kiwanja kwa 8M Dar es salaam

rodgers123

Senior Member
Joined
Jul 12, 2015
Posts
180
Reaction score
152
Wakuu habari,

Kama mnavyoona hali ya kifendha inakuwa ngumu kila kukicha kwa sisi wengine.
Jamani natafuta kiwanja maeneo haya Boko, Bunju, Salasala au Makongo juu.
Budjet yangu nio hiyo 8M. Kiwe kikubwa kidogo minimum 25 * 30.

Natanguliza shukrani.
 
Kwa hivyo vigezo na pesa hiyo utangoja sana
 
mkuu njoo nikupe chanika kiwanja kipo sehemu nzuri sana na eneo limejengeka please call 0712 699 624
 
Njoo Pugu kajiungeni. Kiwanja 6M, 22*30
 
Mbezi msumi kuna kiwanja
Karibu PM
 
Kama utapata wazo jipya kuna kiwanja Allepo..ml2 tu heka 2
 

Kwa hayo maeneo mmh! Kwa pesa hiyo hapana, labda kipungue ukubwa!
 
Njoo nikuuzie kiwanja
Mbezi msakuzi kwa bei hiyo ni kikubwa 40* 20
 
Kwa hiyo hela labda upate kiwanja uswahilini,
Ila viwanja bora na kizuri ni bei ya juu
Bei ya chini ni shillingi millioni 16,
Waone wakuu wa nssf, nhc,
Uongee nao watakutafutia bei poa na kizuri.
 
Reactions: MC7
njoo inbox nikupatie kinyerez mwisho karibu na mitambo ya kuzalisha umeme tanescp
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…