Natafuta kiwanja kilichopo maeneo ya Majohe

Kikombo

Member
Jun 29, 2012
60
48
Wadau salamu zenu! Ninatafuta kiwanja maeneo ya Majohe kiwe karibu na kwa Ngozoma au Majohe Kichangani. Kiwe na ukubwa wowote.
Natanguliza shukrani wadau.
 
Mimi nauza kipo chanika kwa mbiki ni dakika5 chache kutoka barabara ya lami na kipo karibu na barabara ya vumbi...ni eneo la makaz ya watu ,watu wamejenga sana eneo hilo..kiwanja kinaukubwa wa mita za mraba 34 kwa 25 .Hati ipo ..Bei ni million nane tuu hakuna dalali na unaweza kulipa kwa awamu..kwa maelezo zaidi 0768048758
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom