leroy
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,622
- 2,220
Wakuu habari zenu,
Ni muda sasa nimekuwa nikitafuta kiwanja cha kuanza maisha bila mafanikio.
Ninahitaji kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa usiopungua square metres 2500 yaani 50m kwa 50m.
Bajeti yangu ni Milioni 5 ilia nipo tayari kuongeza kidogo nikiona kinafaa.
Natanguliza shukrani.