Natafuta kiwanja kilichopimwa mkoani Dodoma

Natafuta kiwanja kilichopimwa mkoani Dodoma

WINCH

Member
Joined
May 3, 2016
Posts
71
Reaction score
23
Natafuta Kiwanja Dodoma, kuanzia ukubwa wa 450 sqm

Ofa: Mil. 3.5 had 4, Kiwanja kiwe kimepimwa

Maji na umeme viwe karibu, barabara (daladala) iwe inafika.

Pasiwe mbali na mjini (Isizidi km 15).

Pakiwa barabara ya Dar itapendeza zaidi (Ni muhimu ila sio lazima)

Ahsanteni

Kama unacho niPM tafadhali
 
Weka humu tuone wote mkuu. Ukiona haifai basi niPM na mimi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom