malema 1989
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 1,323
- 529
Wanajamvi,
Naomba anayefahamu kiwanja kizuri kilichopimwa maeneo ya Pugu, Gongo la Mboto, Mbezi, Kinyerezi, Kimara. Kiwe sehemu nzuri siyo bondeni na kiwe siyo mbali sana na barabara na kiwe kinafikika muda wote wa mwaka.