Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo kibaha yote isipokuwa mlandizi na bagamoyo. Ni pm
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo kibaha yote isipokuwa mlandizi na bagamoyo. Ni pm
Ukifika Mlandizi kuna barabara ya kwenda Maneromango siyo mwendo mrefu kutoka Mlandizi. NB: Mzenga ipo km 29 kutoka Kibaha. Sehemu haina umeme wala maji.
Ukifika mlandizi kuna barabara ya kwenda maneromango siyo mwendo mrefu kutoka mlandizi. NB: mzenga ipo km 29 kutoka kibaha. Sehemu haina umeme wala maji.
Vipi ulifanikiwa kupata mkuu na bei zinaendaje coz nahitaji kiwanja pia kwa upande huo ila naona madalali wanapandisha sana bei ili kupata faida kubwa!!