Kibada kiwanja kwa mil 15 chenye hati mh let me check
Ok call number 0717928999Naweza kuja maana Kibada inaonekana "Maji Mazito"
Naweza kuja maana Kibada inaonekana "Maji Mazito"
Na mimi nakushauri nenda dege, pako vizuri tu tena sana tu na kuna plots nyingi zilizopiwa.Naweza kuja maana Kibada inaonekana "Maji Mazito"
Mkuu huko Kibada viwanja vinapatikana?Ntajaribu kukuulizia maana na mimi nakaa eneo hilo nilinunua 2007 kipindi hiko viwanja ilikuwa ni bei ya kutupa. 15 million sina uhakika sana lkn 20 million unaweza bahatisha. Unahitaji square meter ngapi?