Kunatangazo limetoka iringa wanauza viwanja eneo moja linaaitwa mafifi. Ni uwanda wa juu. Plan ni kwaajili ya wenye nazo kwani lile ni eneo la biashara na maendeleo. Kutakufaaa sana. Bei ya chini ya serikali ni 4.5 mil kwa kiwanja kidogo. Mita moja ya mraba ni shs 4000. Kama huna msaada mwingine ninaweza kukusaidia.
Kuna kiwanja kilichopimwa pale Kibwabwa karibu na wakala wa mbegu za miti wa serikali,barabara ya kwenda Mby baada ya kupita Ivory, je maeneo yale yanakufaa.