Natafuta kiwanja Dodoma mjini

Natafuta kiwanja Dodoma mjini

Ushimen

Platinum Member
Joined
Oct 24, 2012
Posts
44,612
Reaction score
112,383
1. Kiwe Dodoma mjini
2. Kiwe kimepimwa
3. Kiwe na hati
4. Bei isizidi 4 millions
5. Sihitaji dalali, ingawa atakae wezesha nitamlipa 5% ya bei nitakayo nunulia.

Kwa mawasiliano zaidi, PM
Naomba kuwasilisha.
 
Mjini price per SQM inaenda 16000TZS kwa wauzaji binafsi. Hiyo 4M unaweza ishia kupata uchochoro tu mkuu
 
Swahiba, kwa hiyo bei njoo nikuuzie Ntyuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom