Natafuta Kiwanja Dar

Ngoja nikakutafutie mkuu
 
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
Mi ninacho pugu sqr mt 400
 
Ni maeneo hayo hapo juu tu ndio natafuta. Sababu za kifamilia na kibiashara zaidi.
 
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
Bunju square metre 2134 upande wa bahari 70m aina dalali hiyoo
 
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
Kipo Mabwepande.
Piga 0769776598
 
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
Kipo salasala karibu na feza
Square meter 2045
Ni tambarare chote.
Kina tofali chache, kifusi na kokoto.
Hati ipo
Price fixed 35m

Na kingine kipo mbele yake (mwisho wa lami)
Kina sqm 4200
Hakina hati hiki.
 
Kipo salasala karibu na feza
Square meter 2045
Ni tambarare chote.
Kina tofali chache, kifusi na kokoto.
Hati ipo
Price fixed 35m
Una picha mkuu
 
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M.
Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
Njoo pm nikuuzie kiwanja na nyumba kwa bei hiyo, kipo mita 100 toka barabarani , maeneo ya Pugu Kigogo.
 
Mi ninacho kipo kinyerezi hali ya hewa kinataka 12M tu
 
80m mbweni 1250sqm pamoja na 2 rooms servant quarter, kimoja master, maji umeme vipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…